Tumekabiliana na changamto nyingi sana kama vile;
· Kupigwa vita kwa habari ya mikutano
· Kupigwa vita kwa habari ya semina,pamoja na ratiba mbali mbali za maombi zilizokuwa zikiendelea hapa kanisani
· Kupigwa vita na watumishi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusemwa vibaya kwa Mtumishi na kanisa kwa ujumla
· Lakini mkono wa Bwana ulikuwa pamoja nasi ukitupigania, hatimaye tukazidi kuwa washindi,Jina la Yesu lipewe sifa, Amen.
No comments:
Post a Comment