MALENGO NA MAONO YA KANISA
- Tunatalajia kufungua Makanisa Inje na ndani ya Tanzania
- Tunatalajia kuwa na kituo cha Redio na televisheni
- Tunatazamia kujenga kanisa kubwa lenye uwezo wa kubeba watu takribani million tatu
- Tunatazamia kufungua shule ambazo zitakuwa zikichukua wanafunzi kuanzia Kindergaten hadi Chuo Kikuu
- Tunatazamia kufungua hospitali,vituo vya kulelea watoto yatima na kusaidia watu wasio jiweza
- Pia tunatazamia kuwa na Chuo Kikuu cha Biblia
- Tunatazamia kuwa na vyanzo mbalimbali vya Uchumi pamoja na kuwa na Benki zetu wenyewe
Mungu atutie nguvu tufikie malengo haya
ReplyDelete