Tumekabiliana na
changamto nyingi sana kama vile;
·
Kupigwa vita kwa
habari ya mikutano
·
Kupigwa vita kwa
habari ya semina,pamoja na ratiba mbali mbali za maombi zilizokuwa zikiendelea
hapa kanisani
·
Kupigwa vita na
watumishi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusemwa vibaya kwa Mtumishi na kanisa kwa ujumla
·
Lakini mkono wa Bwana
ulikuwa pamoja nasi ukitupigania, hatimaye tukazidi kuwa washindi,Jina la Yesu
lipewe sifa, Amen.
No comments:
Post a Comment