·
Kanisa lilianza mwaka elfu mbili na tano(2005),
ikiwa kama fellowship ilikuwa ikifanyikia nyumbani kwa Mr Eustadhi- Bwaize huku ikiwa na washirika wanne.
·
Baadaye
tulifanikiwa kupata kiwanja cha
kukodi,tukajenga jengo la muda la miti. Mwaka elfu mbili na sita (2006) mwezi
wa saba hadi elfu mbili na tisa (2009) tulifanikiwa kununua kiwanja cha
kanisa,tukahamia rasmi kwenye kanisa hilo mwaka elfu mbili na kumi (2010) mwezi
wa kumi, kwa kujenga jengo la muda la miti huku tukiendelea na ujenzi wa jengo
la kudumu la kanisa.Mpaka hapo washirika walizidi kuongezeka kutoka wane hadi
hamsini(4 – 50).
·
Ilipofika mwaka elfu mbili na kumi tatu(2013) mwezi wa
saba ndipo tulipokamilisha ujenzi wa jengo la kudumu la kanisa likiwa na
washirika zaidi ya mia mbili.
No comments:
Post a Comment