HISTORIA YA KANISA


·         Kanisa  lilianza mwaka elfu mbili na tano(2005), ikiwa kama fellowship ilikuwa ikifanyikia nyumbani kwa  Mr Eustadhi- Bwaize huku ikiwa na  washirika wanne.
·         Baadaye tulifanikiwa  kupata kiwanja cha kukodi,tukajenga jengo la muda la miti. Mwaka elfu mbili na sita (2006) mwezi wa saba hadi elfu mbili na tisa (2009) tulifanikiwa kununua kiwanja cha kanisa,tukahamia rasmi kwenye kanisa hilo mwaka elfu mbili na kumi (2010) mwezi wa kumi, kwa kujenga jengo la muda la miti huku tukiendelea na ujenzi wa jengo la kudumu la kanisa.Mpaka hapo washirika walizidi kuongezeka kutoka wane hadi hamsini(4 – 50).

·         Ilipofika  mwaka elfu mbili na kumi tatu(2013) mwezi wa saba ndipo tulipokamilisha ujenzi wa jengo la kudumu la kanisa likiwa na washirika zaidi ya mia mbili.

No comments:

Post a Comment