MAFANIKIO

                
·      
          

    Tumefanikiwa  kuwa na semina na mikutano mbalimbali inje na ndani  kanisa;
Semina ya sheria, haki za binadamu,ujasiriamali, haki ya mama na mtoto,bila kusahau semina nyingi za neno la Mungu zilizofanyika.

·         Pia tumefanikiwa kuwa na watumishi wapakwa mafuta wa Mungu,kwaya mbili yaani New Jerusalem kwaya na Rivival kwaya,kuwa na Ibada mbili,viti vya kukalia zaidi ya mia tatu,pia tumefanikiwa kufungua shule ya watoto (baby care), bila kusahau idara mbalimbali zilizoanzishwa kama vile; Idara ya Wababa,Vijana,Wamama na Watoto.

No comments:

Post a Comment