MALENGO NA MAONO YA KANISA

  1.        Tunatalajia kufungua Makanisa Inje na ndani ya  Tanzania
  2.          Tunatalajia kuwa na kituo cha Redio na televisheni
  3.         Tunatazamia kujenga kanisa kubwa lenye uwezo wa kubeba watu takribani  million tatu
  4.          Tunatazamia  kufungua shule ambazo zitakuwa zikichukua wanafunzi kuanzia Kindergaten hadi Chuo Kikuu
  5.          Tunatazamia kufungua hospitali,vituo vya kulelea watoto yatima na kusaidia watu wasio jiweza
  6.        Pia tunatazamia kuwa na Chuo Kikuu cha Biblia
  7.        Tunatazamia  kuwa na vyanzo mbalimbali vya Uchumi pamoja na kuwa na Benki zetu wenyewe

1 comment: